UTAVAA NINI BLACK TIE EVENT ITAKAYOKUWA HOSTED NA WEMA SEPETU & IDRIS SULTAN.


Lets say umeshanunua ticket yako for THE BLACK TIE event ambayo watahost Idris na Wema or even better umepewa mualiko na kadi unayo hapo, na wale wanaopanga kwenda, the question inakuja hapa, what will you wear on that night???
The invitation imestate clearly kwamba ni black tie event ..so here are some tips kwa ajili yako::
Kwa ladies, huo ndio usiku wa kuonekana as gorgeous as you can, wear a long formal gown, umepata opportunity ya kuvaa that long beautiful gown ulokuwa unalijaribisha tu nyumbani, so why not wear it siku hiyo.
A full gown.

kama haupendi full gowns unaweza vaa slimming gown..something elegant and classy.

Au wear a short cocktail dress kama hizi..


something classy

Unaweza pia ukavaa an elegant stylish jumpsuit

And for men sio lazima kuvaa taxedo, kama huna takedo just wear a black suit..mix it up with a wite jacket

mix it up ..sio lazima kuvaa black tuShare on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment