WEMA SEPETU KUZINDUA VIATU VYAKE ASILIA TAREHE 29 JULY.


WEMA :: "Mara nyingi napenda sana viatu vya chini na vya asilia... Nikajionea why nat make flats of this kind.... Get ur very own Wema sepetu flops kwa shilling 12000 kwa jumla and 15000 reja reja.... Place ur order now na tutakizindua rasmi tar 29 ambapo mwenyewe ntakuuzia...#UsikuWaWazaramu Loading..... Namba ya kupiga kwa ajili ya kuplace order yako ni 0655066565.... Vipo design nyiiiingi na rangi nyingi mnoooo...."

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.