ALIYEKUWA MKURUGENZI WA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA NA WENZAKE WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson Maimu (Pichani), leo amefikishwa katika Mahakama ya hakim Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, akiwa na wafanyazi wengine wa Mamlaka hiyo.

January 2016, Rais Dk. Magufuli Magufuli alitengua uteuzi wa Mkurugenzi huyo na kumsimamisha kazi yeye na wafanyakazi wengine kadhaa kupisha uchunguzi wa namna NIDA ilivyotumia kiasi cha sh. bilioni 179.6, katika kazi ya upatikanaji wa vitambulisho vya taifa wakati huku kukiwa bado kuna malalamiko kwamba watu wengi walikuwa hawajapata vitambulisho hivyo.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment