BENKI CBA TANZANIA YAFANYA TAMASHA LA FAMLY DAY JIJINI DAR

 Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CBA Tanzania, Paul Nganga akiongea na wafanyakazi waliofika kuhudhuria Tamasha la Family Day iliyofanyika katika hoteli ya Ndoto Pole Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masoko cha Benki ya CBA Tanzania, Solomon Kawiche akimtambulisha Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CBA Tanzania, Paul Nganga wakati wa Tamasha la Family Day iliyofanyika katika hoteli ya Ndoto Pole Kunduchi Beach, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CBA Tanzania, Paul Nganga akiwapa zawadi watoto wa wafanyakazi wa CBA Tanzania walishonda katika michezo mbali mbali.
Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CBA Tanzania, Paul Nganga akiwa na washindi.
Watoto wakigawiwa zawadi.
Wafanyakazi wa Benki ya CBA Tanzania wakishindana katika mchezo wa pete.
Wafanyakazi wa Benki ya CBA Tanzania wakimenyana kukimbia huku wakiwa wamevaa mafunia.
Mshindi wa kukimbia na magunia upande wanawake akiwa amedondoka kwa furaha.
Ilikuwa ni vuta nikuvute... mpaka team White aliponyakua ushindi.
Nderemo na vifijo vilitawala.
Team White.
Team Red.
Kipa wa team White akiokoa.
Piga nikupige.
Gooo.... oooooooooo!
Wafanyakazi wa Benki ya CBA Tanzania na watoto wao wakilisakata lumba.
Team White ikishangilia mara baada ya kuibuka washindi wa michezo mbalimbali katika tamasha la  CBA Tanzania Family Day lililofanyika katika hoteli ya Ndoto Pole Kunduchi Beach, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Team Red ikishangilia pamoja na watoto wao katika tamasha la CBA Tanzania Family Day lililofanyika katika hoteli ya Ndoto Pole Kunduchi Beach, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Team Black wakifurahia mara baada ya kumaliza tamasha la CBA Tanzania Family Day lililofanyika katika hoteli ya Ndoto Pole Kunduchi Beach, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.