Benki ya Diamond Trust Bank Yakabidhi Msaada wa Viti kwa Kituo cha Aga Khan Madrasa Kinachotowa Elimu Programu ya Makuzi na Maendeleo ya Mtoto Madrasa Zanzibar.

Mkuu wa Kitengo cha Fedha Benki ya DTB Tawi la Zanzibar Ndg Shahr Mohammed kushoko akimkabidhi msaada wa Vitu kwa ajili ya Madrasa hiyo inayotowa Elimu ya Mafunzo kwa Walimu wa Skuli za Maandalizi Zanzibar, akipokea msaada huo wa Vitu 40 kwa ajili ya Taasisi hiyo ya Programu ya Makuzi na Maendeleo ya Watoto Madrasa Ndg Khamis  Said Abdallah hafla hiyo imefanyika katika Kityuo hicho kiponda Zanzibar wakishuhudia Wafanyakazi wa DTB na Kituo hicho.
Mkuu wa Kitengo cha Fedha Benki ya DTB Ndg Shahr Mohammed akikabidhi msaada wa Vitu vilivyotolewa na Benki hiyo kwa ajili ya matumizi ya Kituo hicho akipokea msaada huo Mkurugenzi wa Programu ya Makuzi na Maendeleo ya Watoto na Madrasa Ndg Khamis Said Abdalla.
Mkuu wa Kitengo cha Fedha Benki ya DTB Tawi la Zanzibar Ndg Shahr Mohammed, akizungumza na wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi viti hivyo 40 kwa ajili ya Kituo hicho ni moja ya misaada yao kwa jamii kutumia faida wanayoipata kusaidi miradi ya Jamii.Hafla hiyo imefanyika katika Kituo chaMadrasa Kiponda Zanzibar. 
Mkurugenzi wa Kituo hicho cha Programu ya Makuzi na Maendeleo ya Watoto na Madrasa Ndg. Khamis Said Abdallah akitowa shukrani kwa Benki ya DTB kwa msaada wao huo wameotowa wakati muafaka wakati kituo hicho kina upungufu wa thamanin kwa walimu wanaopata mafunzo katika kituo hicho. 


Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.