CLOSET YA MAPOCHI YA KRIS JENNER INA THAMANI KUBWA ZAIDI YA KITU CHOCHOTE NYUMBANI KWAKE.


Just recently Kylie Jenner mtoto wa Kriss Jenner alikuwa akimsaidia mama yake kupanga closet yake ya mapochi tu! Yes, Kriss Jenner ana closet ya kila kitu, ya mapochi, ya viatu, ya nguo, ya jewelry nk. 
So kwenye this closet tunaona mabego sana sana ya BIRKINS, ambayo ni her favorite na one of the most expensive bags. These bags cost kuanzia US$11,550 hadi US$150,000. Ambayo ni Million 25,283,527.50 hadi Million 328,357,500
Never in a million years, but oukay the closet looks beautiful, maybe wengine tutazijaza kwa bags za brand za kawaida.
 kwenye giza it glows.


 Huyu ndiye aliye-design closet yake.


Video ya closet ya Kriss Jenner ilivyokuwa inatengenezwa.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment