DEANGELO AND RISALYN ZOMBIE THEMED WEDDING.

Mchezaji wa NFL DeAngelo Williams aliamua kufanya a zombie themed wedding baada ya kukosa muda wa kufanya photoshoot na his wife for their engagement.
Rosalyn alisema kuwa yeye hakuwa na shida na harusi yao kuwa hivo, they both wanted something different. Ilibidi tu kuwa aambia ma-bridesmaid wakubaliane na decision yao, because they have no choice, brides maid huwezi kumkatalia bibi harusi.
So insted ya wanandoa kutembea down the aile, bridesmaids na best men wakawa wanawakimbiza kama ma-zombie.
This is unique kwa kweli. Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment