DK. MODESTUS KIPILIMBA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA.


Rais Dk. John Pombe Magufuli leo amemteua Dk. Modestus Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Rashid Othman aliyestaafu.
Dk. Modestus Kipilimba ataapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment