HAWA NDIO CELEBRITIES AMBAO MA-DESIGNER WALIKATAA KUWAVISHA.

Huko nje kwa wenzetu, ni kitu change kawaida kwa celebrities kuvalishwa na designers tofauti every now and then. Uwe tu maarufu sana, Uwe na a lot of fans, uwe na body nzuri. Hapo ndio utatumiwa Kila kitu kuanzia nguo, mapochi na hata viatu, without forgetting jewelry.
Hawa ni kati ya celebrities ambao designers wakubwa Huko nje walikataa kabisa kiwavisha,kisa walikuwa sio maarufu Au wanna nk.
BEYONCÉ. 
Kabla Queen Bee hajawa Queen Bee alikuwa na kundi last destiny child's. Designers walikataa kumvisha yeye na kundi lake kisa they were not famous enough. But now Kila designer would die to dress her.

Dascha Polanco,huyu ni actress was kwenye Ile series "Orange is the new black" naye designer wanakataa kumvisha kisa mwili wake ana shape zetu zile.

Ashley Graham. 
She is a model, naye kisa mwili wake designers wanakataa kumvisha. 

Kim Kardashian.
Now Kim anavishwa na designers wengi sana, lakini sana sana anavaa za hubby wake Kanye West. Lakini before her and all the Kardashiansgot famous naye alikuwa anapata shida. 

Hayden Panettiere .
Huyu namjulia kutoka kwenye Ile series ya HEROES ..naye it's because she wasn't famous enough.

 Jennifer Hudson.
Now Jennifer looks all slim and sexy lakini before alikuwa a little fat.

Leslie Jones  

Khloe Kardashian.

Melissa Mccarthy 

 Octavia Spencer.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.