JOKATE MWEGELO NA MOHAMMED DEWJI WAMEZINDUA UWANJA WA MPIRA WA KIKAPU SHULE YA SEKONDARI JANGWANI.

Jokate Mwegelo akishirikiana na Mo.Dewji Foundation wamezindua uwanja wa mpira wa kikapu uliogharimu Million  50, Shule ya Sekondari Jangwani.
Uwanja ulizinduliwa rami na mkuu wa wilaya ya ilala Sofia Mjema. 
Mgeni rasmi,Jokate na mwenyeji wa happy wakowasili. 


Mkuu wa wilaya ya ilala akizidua rasmi.

CONGRATULATIONS JOKATE & MOHAMMED DEWJI.

UWANJA NDIO HUU.

Jokate Mwegelo, Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema, Head of Mo. DEWJI foundation Ms.Barbara Gonzalez na Metlgroup marketing director Ms.Fatema Dewji Jaffer wakitoa speech.Timu za wsichana Vijana Queens na Juhudi wakifungua uwanja kwa kucheza hapo kwa mara ya Kwanzaa.


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment