KANYE WEST KUONGEZA BEI YA T-SHIRT ZAKE ZA LIFE OF PABLO.


Inasemekana Kuwait Kanye West ameongeza BEI ya t-shirt zake ZA Life of Pablo. Inasemekana Kuwait hizi thirty zina Kuwa printed kwenye Gildan tshirts ambazo ukinunua kwa kawaida Yani ambazo hazijachapwa nembo ya LIFE OF PABLO Ni dollar 1.50 hadi 4 tu. Lakini ambazo zimeshachapwa nembo ya LIFE OF PABLO Ni dollar 55 kwa thirty ya mikono mifupi, $75 kwa mikono mirefu na $108 kwa hoodies. 
It seems bad zinazidi kununuliwa tu hata na BEI yake ilivyo.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.