MSICHANA APATA KIUNO CHA INCH 16 KWA KUVAA NA KULALA NA WAIST TRAINER KWA MIAKA 3 MFULULIZO.

Michelle Kobke Ni msichana mwenye MIAKA 24 tu..ameweza kupunguza kiuno chake kutoka inch 25 hadi inch 16 kwa kuvaa waist trainer Kila siku kwa miaka 3 hata kulala analala nayo.
Michelle bado anataka kupungua zaidi hadi kufikia inch 14 kama idle wake JUNG ambaye ndiye mwenye kiuno kidogo duniani.
Michelle ameambiwa atapata matatizo zaidi akiendelea kujipunguza zaidi, kwani hapo alipo tayari anashidwa kusimama Bila support na hata digestion yake haiendi vizuri.


Michelle kabla hajaanza kuvaa waist trainer.


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.