SUPER MODEL TYRA BANKS KUFUNDISHA DARASA SHULE YA BIASHARA STANFORD.


Model/entrepreneur Tyra Banks imesemekana kuwa atafundisha DARASA kama guest lecturer katakana Shule ya biashara ya Stanford, Ambapo atakuwa afundisha darasa kuhusu jinsi ya kujenga personal brand as she is an expert ikija kwa Hilo.

Tyra ambaye Alianza tu kama model was kawaida sasa Ni maarufu and so successful, akiwa ni muanzilishi na mmiliki wa America's Next Top Model, pia ana makeup products zake mwenyewe and many more. .


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.