UNAWEZA KUPATA KILA KITU KWA AJILI YA UREMBO WA USO WAKO KUTOKA ZURII HOUSE OF BEAUTY.


We are located in Dar Free Market Mall,
 1st Floor, Shop No F4, Oyster Bay, 
Ally Hassan Mwinyi Road, near the Embassies of Kenya and France.
 Call or whatsapp📱📲📞☎️ +255 65 918 9769, +447557304940.
Opening Times Mon-Sat 10am-8pm Sun 10am-6pm


The Body Shops Super Soft Facial Cleansing Brush available at #ZuRiiHouseOfBeauty TSHS 50,000.

Brush inasafisha uso vizuri sana.
Nimeijaribu na ndo ninayo tumia kwa sasa maana ni ni nzuri sana.

Ukisha toa makeup yako unachukua brush yako unaweka cleanser yako au sabuni yako ya kunawia uso kisha una anza kusafishia.
Unalala na uso ukiwa fresh and cleanTwinkle Eyebrow shaver available at#ZuRiiHouseOfBeauty TSHS 5,000 each.
Hii ni njia salama, nzuri na sahihi ya kunyoa nyusi bila kujikata.
Kama una salon na unatoa huduma ya kutinda nyusi ni vizuri kutumia hivi kuliko wembe nicheki nikuuzie kwa bei ya jumla na nafuu zaidi ili na wewe uweze kupata faida.


Simple skin care products available at#ZuRiiHouseOfBeauty.

Product ni nzuri na salama kwa ngozi yako. 


Garnier Micellar Cleansing Water avialable at#ZuRiiHouseOfBeauty.

400ml TSHS 20,000
125ml TSHS 10,000

One of the best makeup removers.

Micellar Cleansing Water removes make-up, cleanses and soothes skin on the face, eyes and lips in one step without needing to rinse off.


Remington Reveal Facial Cleaning Brush (brush ya kusafishia uso) available TSHS 300,000.

Hii husaidia kusafisha vizuri na kimaudhubuthi kabisa uso wako na kuondoa uchafu wote ambao ukijisafisha kawaida huwa unabakia. 


Neutrogena Visibly Clear available in store TSHS 30,000-35,000 each.

Product hizi pia ni suluhisho kwa wale wenye chunusi, blackspots na oily skin (ngozi zenye mafuta). Hizi products zina saidia kuondoa blackspots na kukausha chunsi na kuiacha ngozi yako soft & smooth.

Hazichubui

Hazina mafuta so zina kufaa wewe mwenye ngozi ya mafuta.


Neutrogena Visibly Clear available in store TSHS 30,000-35,000 each.

Product hizi pia ni suluhisho kwa wale wenye chunusi, blackspots na oily skin (ngozi zenye mafuta). Hizi products zina ondoa blackspots na kukausha chunsi na kuiacha ngozi yako laini bila chunisa wala madoa.
Hazichubui

Hazina mafuta so zina kufaa wewe mwenye ngozi ya mafuta.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment