WEMA SEPETU STILL LOOKED HOT WITH THIS SIMPLE OUTFIT SHE WORE KATIKA USIKU WA VIGOMA.


Usiku wa vigoma ushapita kwa huku Dar, but this time itakua Tanga. Watu wengi sana walienda..making tofauti yakiwa na sare zao za vijora. 
Wema yeye alitengeneza sare yake ikawa kama maxi skirt aki-show off some leg kuipa more style. Alivalia na a white see-through crop top.
Faux dread alizosuka nazo went so well with her face beat.


Akiwa na kaka manager

Muna mapenzi sare sare na Wema 

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment