BLAC CHYNA ATANGAZA MTOTO WAO NI WAKIKE "IT IS A GIRL".


The Kardashains wanategemea yet another baby girl kwenye familia yao, Black Chyna ametangaza kuwa mtoto wake na Rob Kardashian ni wa kike. The family is surely blessed with girls, but we already know kuwa mtoto hatokuwa na herufi "K" kwenye jina lake.

Black chyna pia ametangaza Reality show yake na Rob Kardashian ambayo itakuwa inaonesha maisha yao yote kama tu "Keeping up with the Kardashains" imesharushwa hewani.

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment