CELEBRITY GOSSIP :: ANGELINA JOLIE ANATAKA TALAKA FROM BRAD PITT BAADA YA MIAKA 14 PAMOJA.


Actors Angelina Jolie na Brad Pitt wamekuwa ndani ya ndoa kwa miaka 2 na walikuwa pamoja kikawaida kwa miaka 12. Just lately tumesikia kuwa Angelina ame-file for a divorce kutoka kwa Brad Pitt, na attorney wa Angelina anasema kuwa ni kwasababu ya "the health of their family"

Angelina anataka talaka, pamoja na full custody ya watoto wao 6, lakini amesema kuwa atakuwa anmruhusu kuja kuwasalimia watoto wao. Angelina anasema kuwa hatohitaji spousal support, she can handle her own bills.

This is the end of somebody's couple goals


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment