GUCCI INTRODUCES NEW TWO-IN-ONE SHOE, HEEL AND FLAT.


Looks like Gucci wanataka kuondoa lile tatizo ambalo a lot of women wanalo, that is deciding which to wear between heels and flats siku hiyo. During New York Fashion Week these shoes zilipita kwa runway, these are the Flat-heel shoes, ambazo zimeunganishwa na hizo straps tu, ukitoa strap unavaa kiatu kama flats za kawaida.
So unaweza ukatoka for the day umevaa heels zako, ukichoka unatoa unabaki na flats..but would you wear it though????

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment