Hongera kwa Rebeca Gyumi kwa kupokea Global goal award. Rebeba ameweka nguvu nyingi katika kuleta mabadiliko ndani ya jamii yetu na she truly deserves this award. Juhudi zake pia zinaonekana na kutambuliwa hata viongozi wameliona hilo.
CONGRATULATIONS REBECA!!
0 comments/maoni:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.