IT SEEMS CROCS ARE STARTING TO BECOME FASHIONABLE.

To be real, bado sijaona mtu yoyote kava crocs mtaani..I do not know utaeeza vaa wapi hivi viatu..mostly kids ndio nawaonaga wanavaa but now huko kwa wenzetu crocs zinaanza kuvaliwa sana.
During New York Fashion Week, models walipita on the runway rocking the crocs kama hivi..




Would you wear crocs kwa mtoko wako wa kawaida??




Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment