MITINDO INTERESTING UNAYOWEZA KUONGEZEA KWENYE GAUNI LAKO LA MTOKO.


Ili kufanya muonekano wako uwe a bit unique..kwa ajili ya mtoko, iwe for a wedding, kitchen party Au you just want to spice up your look..unaweza kuweka mitindo kama hii. .
1.One shoulder.
Saivi off-the-shoulder bado ina trend, but hii one shoulder is still really catchy.


2.Part sheer cleavage.
Inakuwa inaacha sehemu ambayo una-show off your cleavage. Unaweza weka mbele kwenye kifua Au kuongezea urefu was nguo but still showing off your legs.

3.Low u-neck and side open back.

4.Full coverage kwa mbele with a spicy open back. Unaacha little to the imagination.
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment