FITNESS MOTIVATION ::POSSIBLE PAT LOST 330 POUNDS NDANI YA MIAKA 3.


Huyu jamaa goes by the name possible pat huko instagram..anatomic account yake kama inspiration account, anaelezea mbinu anazotumia kupunguza mwili, vyakula anavyokula na anvyoepuka, mazoezi anayofanya na juhudi amabyo mtu anatakuwa kuwa nayo ili kufanikiwa kupunguza uzito wote huo..
Sasa baada ya kupunguza mafuta your yaliyokuwa yanamfanya mnene ngozi yake imebakia imetepeta na what Is left to do Ni kufanya surgery kuondoa hiyo ngozi.. Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.