So mwisho wa mwaka ndo huu na wengi wana andaa matamasha yao basi na wengine wakiwa wameanza kuya kickisha sasa hivi.
Wangapi watu wanataka huyu dada ashuke bongo siku akinukishe watu wale nae Bata???
I guess watakuwa kwenye mazungumzo na Amber rose aje kwa ajili ya mkesha wa x masi wa tarehe 24 utakaofanyika na kaundaliwa na WCB
Picha hiyo pia ilikuwa reposted na Diamond Platnumz
0 comments/maoni:
Post a Comment