Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, NavyKenzo wametajwa kwenye Tuzo za SoundCity MVP 2016

Mastaa ambao wako A-List kwenye muziki wa BongoFlava kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, NavyKenzo, Vanessa Mde na Alikiba wametajwa kwenye list ya wasanii wanaowania tuzo za SoundCityMVP zinazoandaliwa na kutolewa na kituo cha TV kutoka nchini Nigeria cha Sound City TV.
Tayari majina na category zote za wasanii watakawania tuzo hizo yametangazwa na kituo hicho huku zikiwa na ushindani mkubwa kwa namna vipengele vilivopangwa. Diamond Platnumz anawania tuzo mbili ikiwemo Msanii Best African Of The Year pia atachuana na mastaa wengine kwenye tuzo ya “Best Male” ambao ni rapa Emtee kutoka South Africa, Wizkid (Nigeria), Patoranking (Nigeria), Falz (Nigeria), Olamide (Nigeria) na Phyno (Nigeria).
Alikiba anawania tuzo ya Video Bora akicompete na mastaa wengine kama Mr. Eazi – SkinTight, Patoranking – No Kissing, Eddy Kenzo – Mbilo Mbilo, Emtee – Roll Up, DJ Maphorisa – Soweto Baby, Phyno – Fada Fada, Olamide – Who You Epp, Harry Song – Raggae Blues na Mastecraft – Finally. 
Wizkid ndiye ameongozwa kuwania tuzo nyingi zaidi zikiwa ni category 8 zikiwemo nne za number 1 hit single ya ‘Baba Nla’ inayowania tuzo ya Best Song, Best Video, Viewers’ Choice na Listeners’ Choice akifuatiwa na rapa kutoka South Africa, Emtee na Olamide. Soundcity MVP2016 zitatolewa na kuoneshwa Live Alhamisi, 29 December kutoka ndani ya ukumbi wa Expo Center of the Eko Hotel & Suites, Jijini Lagos Nigeria.
scity2
Baada ya kitambo cha kutotajwa kwenye tuzo yoyote hatimaye mwimbaji Davido ametajwa kwenye kipengele cha Digital Artiste of the Year akiwa na Tekno, A.K.A, P-Square, Tiwa Savage, Wizkid na Casper Nyovest. Warembo kutoka East Africa Victoria Kimani (Kenya), na Vanessa Mdee (Tanzania) watachuana kwenye category ya Female MVP of The Year wakiwa na msanii kutoka Ghana, MzVee. 
Wakati huo huo Navyo Kenzo wanawania tuzo ya Best Grouo or Duo wakiwa na Sauti Sol (Kenya), Mafikizolo (South Africa), Micasa (South Africa), R2Bees (Ghana), Toofan (Togo), P-Square – Nigeria na VVIP (Ghana).
SAUTI SOL (KENYA)
MAFIKIZOLO (SOUTH AFRICA)
MICASA (SOUTH AFRICA)
NAVY KENZO (TANZANIA)
R2BEES (GHANA)
TOOFAN (TOGO)
PSQUARE (NIGERIA)
VVIP (GHANA)
Nimekuwekea hapa Full List ya mastaa wanaowania tuzo hizo.
BEST MALE
DIAMOND PLATNUMZ (TANZANIA)
EMTEE (SOUTH AFRICA)
WIZKID (NIGERIA)
FALZ (NIGERIA)
OLAMIDE (NIGERIA)
PATORANKING (NIGERIA)
PHYNO (NIGERIA)
BEST FEMALE
TIWA SAVAGE (NIGERIA)
VICTORIA KIMANI (KENYA)
YEMI ALADE (NIGERIA)
VANESSA MDEE (TANZANIA)
CYNTHIA MORGAN (NIGERIA)
MS VEE (GHANA)
SIMI (NIGERIA)
BEST HIP HOP
CASSPER NYOVEST (SOUTH AFRICA)
OLAMIDE (NIGERIA)
CDQ (NIGERIA)
EMTEE (SOUTH AFRICA)
EL (GHANA)
RIKY RICK (SOUTH AFRICA)
STANLEY ENOW (CAMEROON)
PHYNO (NIGERIA)
BEST POP
WIZKID (NIGERIA)
KISS DANIEL (NIGERIA)
TEKNO (NIGERIA)
YEMI ALADE (NIGERIA)
ADEKUNLE GOLD (NIGERIA)
TIMAYA (NIGERIA)
TIWA SAVAGE (NIGERIA)
DIGITAL ARTISTE OF THE YEAR
PSQUARE (NIGERIA)
WIZKID (NIGERIA)
A.K.A (SOUTH AFRICA)
TIWA SAVAGE (NIGERIA)
DAVIDO (NIGERIA)
CASSPER NYOVEST (SOUTH AFRICA)
TEKNO (NIGERIA)
BEST COLLABORATION
MR EAZI FT EFYA – SKINTIGHT (NIGERIA / GHANA)
PATORANKING FT SARKODIE – NO KISSING (NIGERIA / GHANA)
EDDY KENZO FT NINIOLA – MBILO MBILO REMIX (UGANDA / NIGERIA)
EMTEE FT WIZKID & AKA – ROLL UP (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
DJ MAPHORISA FT WIZKID & DJ BUCKZ – SOWETO BABY (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
PHYNO FT OLAMIDE – FADA FADA (NIGERIA)
OLAMIDE FT WANDE COAL – WHO YOU EPP (NIGERIA)
HARRY SONG FT OLAMIDE, KCEE – RAGGAE BLUES (NIGERIA)
MASTERKRAFT FT FLAVOUR & SARKODIE – FINALLY (NIGERIA / GHANA)
VIDEO OF THE YEAR
PANA BY TEKNO DIRECTED BY CLARENCE PETERS (NIGERIA)
AJE BY ALIKIBA, DIRECTED BY MEJI (NIGERIA)
BABANLA BY WIZKID DIRECTED BY SESAN (NIGERIA)
ONE TIME BY A.K.A DIRECTED BY AKA & ALESSIO
SIN CITY BY KISS DANIEL DIRECTED BY H2G FILMS (NIGERIA)
EMMERGENCY BY D’BANJ DIRECTED BY UNLIMITED L.A (NIGERIA)
MADE FOR YOU BY BANKY W DIRECTED BY BANKY W (NIGERIA)
GBAGBE OSHI BY DAVIDO DIRECTED BY SLASH (NIGERIA)
PRAY FOR ME BY DAREY DIRECTED BY MEX (NIGERIA)
BEST GROUP OR DUO
SAUTI SOL (KENYA)
MAFIKIZOLO (SOUTH AFRICA)
MICASA (SOUTH AFRICA)
NAVY KENZO (TANZANIA)
R2BEES (GHANA)
TOOFAN (TOGO)
PSQUARE (NIGERIA)
VVIP (GHANA)
SONG OF THE YEAR
KWESTA FT CASSPER NYOVEST – NGUD (SOUTH AFRICA)
MR EAZI – HOL UP (NIGERIA)
PATORANKING FT SARKODIE – NO KISSING (NIGERIA)
WIZKID – BABANLA (NIGERIA)
TEKNO – PANA (NIGERIA)
EMTEE FT WIZKID – ROLL UP (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
DJ MAPHORISA FT WIZKID & DJ BUCKZ – SOWETO BABY (SOUTH AFRICA / NIGERIA)
OLAMIDE FT WANDE COAL – WHO YOU EPP (NIGERIA)
D’BANJ – EMMERGENCY (NIGERIA)
BEST NEW ARTISTE
KOKER (NIGERIA)
YCEE (NIGERIA)
MR EAZI (NIGERIA)
EMTEE (SOUTH AFRICA)
SIMI (NIGERIA)
NINIOLA (NIGERIA)
TEKNO (NIGERIA)
NASTY C (SOUTH AFRICA)
VIEWERS CHOICE
MR SOLDIER – FALZ FT. SIMI (NIGERIA)
BABANLA – WIZKID (NIGERIA)
OSINACHI BY HUMBLESMITH FT DAVIDO (NIGERIA)
PANA BY TEKNO (NIGERIA)
HOLLUP BY MR EAZI (NIGERIA)
PICK UP – ADEKUNLE GOLD (NIGERIA)
MAMA – KISS DANIEL (NIGERIA)
LISTENERS CHOICE
LAGOS TO KAMPALA – RUNTOWN FT WIZKID (NIGERIA)
BABANLA – WIZKID (NIGERIA)
OMO ALHAJI – YCEE (NIGERIA)
PANA BY TEKNO (NIGERIA)
WHO YOU EPP – OLAMIDE FT WANDE COAL (NIGERIA)
OLUWA NI – REEKADO BANKS (NIGERIA)
PICK UP – ADEKUNLE GOLD (NIGERIA)
SKINTIGHT – MR EAZI FT EFYA (NIGERIA / GHANA)
AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR
WIZKID (NIGERIA)
VANNESSA MDEE (TANZANIA)
DIAMOND PLATINUMZ (TANZANIA)
SARKODIE (GHANA)
YEMI ALADE (NIGERIA)
OLAMIDE (NIGERIA)
AFRICAN PRODUCER OF THE YEAR
DJ MAPHORISA (SOUTH AFRICA)
GOSPEL ON THE BEAT (NIGERIA)
MASTERKRAFT (NIGERIA)
YOUNG JOHN (NIGERIA)
LEGENDURY BEATS (NIGERIA)
SESS THE PROBLEM KID (NIGERIA)
Mwisho wa kupiga kura kwenye tuzo za Soundcity MVP ni tarehe 27 December 2016 au ingia hapa soundcitymvp.com
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.