GIGY MONEY NA WIGS ZA RANGI MBALIMBALIGigy Money alijizolea umaarufu mkubwa akiwa kama muimbaji,video vixen na mambo mengine kibao.
Sijamskia kwa headlines lately mpaka nikaona kwenda kwa page yake nione yalojiri mule
Weee nikavutiwa na anavyo vaa wigs zake confidently zikiwa na colors kali ambazo sio watu wengi they can pull off late alone look good in them au ku dare tu kuwa na colors hizo,
Light pink 


Gray 

purple au hot pink hii


Turquoise 
Black

Blonde 

Hiar color ipi waona yamtoa sana Gigy
share kwa comments below
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment