Hivi Ndivyo Viongozi wa serikali walivyoshiriki kuuaga mwili wa Samuel Sitta DSM


Leo November 11 Rais John Magufuli ameongoza viongozi mbalimbali wa serikali na wananchi wa Dar es salaam kutoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Samuel Sitta Karimjee Dar es salaam. Mzee Samwel Sitta alifariki usiku wa kuamkia November 7 katika hospitali ya Technical University of Munich Ujerumani alikokuwa akipatiwa matibabu.
Baada ya kuagwa katika viwanja vya Karimjee, mwili wa Marehemu Samuel John Sitta umesafirishwa kwenda Dodoma ambako Wabunge, Viongozi wa Mkoa na wananchi watapata fursa ya kuuaga katika Viwanja vya Bunge na baadaye jioni utasafirishwa kwenda Tabora ambako maziko yatafanyika kesho Jumamosi huko Urambo.

Mjane Mama Sitta 
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini Mkapa

Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete


Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Self Ally


Makamu wa Rais mstaafu wa awamu nne, Dkt. Mohammed Gharib Bilal

picha MillardAyo

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment