Hongera keisha Kwa Kuhitimu Elimu ya Juu ,Kwa kuwa Mama wa watoto wa 3Mwanamuzi Keisha ni mingoni mwa wahitimu waliohitimu chuo kikuu weekend hii
Amepotea kwenye ulimwengu wa muziki aki focus na shule na familia yake pia
Keisha Siku kadhaa zilizopita alibahatika kupata mtoto wake na kumfanya mama wa watoto wa 3

Alipeleka furaha yake instagram kwa ku post picha hizi zikiwa na caption mbalimbali 

Thanks Allah for blessing me with the big achievement that I have ever made in my life for obtaining my first Degree together with my 5 days new born oohh Allah you are GREAT !!!


Keisha pia amemshukuru sana mama yake 

Ana nafasi ya kipekee sana mama yangu kama nilivyonayo mimi kwake nakiri kusema bila yeye mimi si kitu huyu ni mungu wangu wa pili hakuna anebisha furaha yangu ni yake maumivu yangu ni yake shida zangu ni zake mimi ni wapekee kwake hana mwingine kwenye maisha yake mapenzi yake kwangu siwezi yaelezea hakuna ambacho hajafanya kwaajili yangu anauza kila aina ya biashara ndogondogo zote mimi nifurahie maisha hata ingetokea nizaliwe upya ningeomba nizaliwe na huyu mwajuma binti salum mama khadija mwenyewe. Nakupenda sana mama yangu mungu pekee ndo anajua nani kama mama jamani???ametoa shukuruni zake pia kwa mumewe 

I'm grateful...happy and blessed...Thank you so much my lovely hubby for being part of my life all the way...It's a great lucky to have you in my life, Thank you again a loving father of my 3 cute children for your endless love and continued support for making my dreams come true...It's 100% true that....To any successful woman.. there is a man behind...I LOVE U SO MUCH MY HUSBAND @jamjys

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment