Jokate Mwegelo Awajibu wote wanaosema ana Msababishia Ali Kiba Gundu


Jokate juzi kati watu walikuwa wakimshutumu kwamba ana gundu so as anamtia na Ali Kiba gundu pia ,hii ni baada ya Diva kupost instagram na yeye hajajinu direct but kama jiwe limesrushwa gizani hivi.


Apost ujumbe huu kwa insta page yake 

Mwisho wa siku wewe ni bingwa na captain wa maisha yako. Wasikupangie bila sababu. #Kidoti

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment