Kundi la Navy Kenzo kuja na Album yao MPya ya ''AIM ABOVE IN A MINUTE''Wasanii wa bongo flava kwa miaka sasa wamekuwa hawatoi Album kwa madai kwamba Album hazili na sababu zingine kibao,but kwa kundi la Navy Kenzo imekuwa tofauti wao wali ahidi kwamba december mwaka huu watatoa Album.

Na walipost kwenye page yao ya Insatagram kuthibitisha kutoa album hiyo mwezi ujao 
Tayari wameweka utaratibu wa ku pre order Album hiyo 


HABARI ZA JIONI WAPENDWA....!Kama tulivyohaidi Desemba hii tutatoa album, Tungependa kushare na wewe Official album Cover ya AIM Above Inna Minute. #Aim ambayo itakuwa ni album yetu ya kwanza official kutoka kwa Navy Kenzo, Kesho tutaoa jinsi unaweza kutoa order ya album yako 


Safari ya album ya AIM itafanikishwa na wewe ndungu, wakati Ipo Njiani kutoka Desemba hii... Weka Oda yako Mapema kupata Nakala halisi kwa Tshs. 10,000/- tu.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment