Maua Sama na Nandi Walivyopendeza kwenye Fiesta 2016 Dar es Salaam

Maua Sama na Nandy ni miongoni mwa wanamuziki wachache wa kike ambao walikula shavu la ku perform fiesta ya mwaka huu
And for the whole time ya Fiesta Maua alivishwa na thestykestudio under Rio and Noel Ndala na niliona vivazi vingi alivyovaa Maua vilikuwa shorts au jumpers sasa nikajua for the Finale atakuwa tofauti but she kept the same style 
But i liked her look ,loved the sheer effect aka add color to her outfit kwa kuvaa over the knee maroon velvet boots 
for Nandy alivaa shorts with a high low strapless kitenge top and red sandals 
love the choker necklace 

did you guys watch the show nani alikufurahisha sana?????
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment