Mose Iyobo na Aunty Ezekiel Wanatarajia mtoto wao wa pili?????

Hizi picha zimesambaa kila mahali na aliepost ni Mose Iyobo mpenzi wake Aunty Ezekiel japo haikuwa na caption yoyote ambayo inasema kama ni mjamzito ila common picha inaonyesha kama Aunty ni mjamzito japo ali andika 
So watu wamekuwa wakitoa comments za pongezi kibao
Tayari wawili hawa wana mtoto wa kike anaye itwa cookie 
kama ni kweli tunawatakia heri ,kama ni stunt ya kuuza sabuni basi kheri 
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment