Mtoto wa Diamond Platnumz na Zarithebosslady kuitwa Riaz Platnumz?????Ni kitu cha kawaida kuona kila mzazi mtarajiwa ana waza jina la kumpa au kumuita mtoto wake kabla hata hajaziliwa ,haikuwa tofauti kwa Zarithebosslady ambaye Kwenye moja ya post za instagram za pricess Tiffah kuna moja ina caption ya About to welcome baby brother prince Riaz and we all kbow Zari ndo ana manage hiyo account 

So wengi wakiwa wanawaza linaweza kuwa jina la mtoto huyo mtarajiwa au pia laweza kubadilishwa 
Hizi ni picha toka kwenye baby shower ya Zari alofanyia huko South Africa

Insta watu hadi account ya princeRiaz washafungua
Wabongo sio watu wa kisport sport

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment