Ali Kiba alishinda kihalali tuzo ya Best African na MTV Base kuchukua tuzo hiyo toka kwa Wiz Kid kwenda kwa Ali Kiba


Tuzo za MTV Europe Music 2016 zilifanyika weekend iliyopita ambapo Mnigeria staa wa single ya Baba Nla Wizkid alitangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya BEST AFRICAN ACT tofauti na ilivyokuwa ikionesha kwenye kura za mtandaoni kuwa Alikiba ndiye mshindi.
Mjadalia mkali ulianza mitandaoni kuhusu mshindi halali wa tuzo ya MTV EMA kwenye category ya BEST AFRICAN ACT, ambapo uliwafikia waandaji wa tuzo hizo. 
Leo November 10 2016 MTV Base East kupitia akaunti yao ya twitter wametangaza rasmi  kuwa tuzo hiyo aliyestahili kuipata ni mtanzania Alikiba na wamempongeza kwa tuzo hiyo .

Congratulations to for his well-deserved win as Best African Act at the 2016
Hawa watafanya watu wasiwe wana Vote ,hii maana yake nini sasa .
story credit::MillardAyo

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment