Nuh Mziwanda afunga ndoa ,Shilole ampongeza

Nuhu Mziwanda anakuwa miongoni mwa wasanii waliofunga ndoa mwaka huu 
Msanii huyu wa bongo flava amefunga ndoa leo hii na bibie Nawal

Hongera kwenu na Mungu ailinde ndoa yenu Insha Allah


Shilole alimpongeza msanii mwenzake na aliekuwa mpenzi wake wa zamani Nuhu kwa ujumbe kwenye page yake ya instagram

"Hongera Nuh Mwenyezi Mungu awatie baraka tele kwenye ndoa yenu" wimbo wa@chegechigunda tafadhal 

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment