Picha za Lady Jaydee akiwa honeymoon na anayesemekana kwamba ni Mume wake


Jide tangu aachane na Mume wake Gardner aliripotiwa kuwa na watu kadhaa katika mahusinao but ya juzi kati inaleta utata kidogo kwamba anaweza kuwa ndani ya ndoa mpya.

Jide aliwa huko Zanzibar na aliishuruku Shirika la Coastal kwa kufanikisha Safari yake hiyo.
Akipost kwa insta page yake na caption 

Big shout out kwa Coastal air 
Kwa kufanikisha safari yangu kwenda honeymoon 🍯 

Jide hajaconfirmm kwa mdomo but kwa maneno au ni wimbo????
au ni kweli ni ndoa
well kama she is married tumtakie kila la kheri kwenye ndoa yake 


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment