Semina ilofanywa na EATVAWARDS na Wasanii wanaowania tuzo hizo


Tuzo za EATV Awards 2016 Jumatano hii imefanya semina maalumu na wasanii wanaowania tuzo kutoka katika vipengele mbalimbali vya tuzo hizo ambazo kilele chake kinatarajiwa kuwa Desemba 10 mwaka huu.

 Semina hiyo ilihusisha viongozi wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA), waandaaji wa tuzo hizo (EATV) pamoja na nominees kutoka katika vipengele vyote huku mada kubwa ambayo ilitawala kwenye semina ni sheria na vigezo vya tuzo hizo na jinsi washindi wanavyopatikana. Angalia picha za semina hiyo. Msanii wa filamu Gabo akiuliza jambo


Mmoja kati ya waratibu wa tuzo hizo, Bhoke Egina akifafanua jambo.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment