Style Mpya ya Nywele ya Diamond Platnumz nayo KOKORO !!


With all that kinaendelea kati ya Diamond na Ommy Dimpoz well tuwaachie wao  and let's focus today on Diamond's new hair do 
So Diamond  debuts this new do jana kwenye interview wakiwa wana promote nyimbo ya Rich Mavoko Kokoro ambayo amemshirikisha Chibu


Ni dreadlocks zikiwa in ombre color black and bleached 
to make his style more interesting akafunga a small red  scarf that matched his tank top 
kama hujaiona video icheki hapa 

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment