Taraji P Henson & Jussie Smollet are the Latest Faces of MAC’s Viva Glam Campaign

Wanacheza kama Mama na mwana kwenye hit show ya EMPIRE ni Taraji P.Henson as  Cookie   na Jussie Smollet as Jamal ambao wametajwa kama mabalozi wapya wa kampuni ya MAC ambayo huwa wana shirikiana na wasanii au stars na kutengeneza nao Lipstick za Viva Glam kwa ajili ya kuchangisha fedha wanazopeleka kwenye ugonjwa wa UKIMWI

Kampeni yao itakuwa out mwakani tena February 

 usichojua kuhusu kampeni hii
Viva Glam is the MAC AIDs fund, started in 1994 to raise money and awareness about the disease by donating 100 percent of the sales of their Viva Glam lipsticks to help fight against HIV/AIDS. To date, the cosmetics’ brand has raised more than $400 million toward the cause and we expect this next campaign will add substantial funds to the pot.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment