Tbt ::The Cutest Pictures of Aunty Ezekiel and her Family

We cant get enough of these Pictures za Aunty Ezekie ,Mose Iyobo na binti yao Cookie ,zilipigwa kusherehekea birthday ya Aunty Ezekiel,na leo si ndo alhamisi mambo ya TBT yanahusika sana
Kwenye photoshoot za familia kama hivi mna tengeneza nguo sare sare

For Aunty;s family walivaa jeans nyeusi ,t shirt zenye namba pia na maneno,King ,Queen na princess 


'
Na sneakers zao matata sana 

Father daughter moments 

Blazers,red shoes and jeans 

beach time 
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment