Tylor Swift ndo Mwanamuziki anaelipwa Hela Nyingi kuliko wote akiwa na Dola za kimarekani 170Tylor Swift bado watu hawajasahau drama mbalimbali alizopitia mwaka huu,ku break na boyfriends wawili,ugomvi wake na Kanye etc
But she did well maana mwisho wa siku amepiga hela nyingi kuliko mwanamuziki yoyote wa kike dunia ikiwa ni according to FORBES .
So kapuni Tylor anaweka dola za kimarekani 170,zinazotokana na Album yake ya 1989 ,akiwa pia na deals za coke diet ,keds na Apple .
Namba 2 akifuatia Adele,3 ni Madonna,4 Rihanna na 5 Queen Beyonce 


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment