Utendaji kazi wa awamu ya tano ya Rais Magufuli wapongezwa na Serikali ya China


Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dkt John Magufuli amefanya mazungumzo na makamu mwenyekiti wa kamisheni kuu ya ulinzi la jeshi la ukombozi wa China (PLA),Jenerali Fan Changlong,Ikulu jijini Dar es salaam huku kwa upande wake Jenerali huyo akionyesha kufurahishwa utendaji kazi wa serikali ya awamu ya tano.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment