Vanessa Mdee Kuigiza Drama Series ya Shuga huko South Africa


Hongera sana Vanessa on your new deal ,Mtv wana drama series yao ambayo inaingia sasa kwenye msimu wa 5 na good news ni kwamba Mtanzania Vanessa Mdee amepata deal la kuigiza .
Mtv wenyewe walitangaza list ya new cast akiwemo Vee Money
Vanessa naye alishare good news alizopewa kupitia email ,na alielezea furaha yake kwa kupata role hiyo .

Ninafuraha sana kuwatangazia kuwa nitakuwa kwenye msimu mpya wa#MTVShuga itakuwa kazi yangu ya kwanza kabisa ya kuigiza na haitokuwa ya mwisho Inshallah.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment