What went Down kwenye Birthday ya Ali Kiba aka King Kiba Huko Serengeti


Ali Kiba jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa tena in style 
Aliamua kusherehekea kwa wkenda kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti.
Ambapo yeye na timu yake wali kwea private jet kwenda huko,ikifuatiwa na kuizunguka mbuga hiyo na jioni ikiwa ni mambo ya kukata keki na burudani kibao.


kuwasili 

 Walienda kuona wanyama mbalimbali
Nilipenda caption ya hapa 
Simba original 



this view though

then the party began

Kuimbiwa vepe 
Ali ni balozi wa ile campaign ya ku save Tembo so wao kuweka keki ya tembo was a real nice idea 



the danced
aliwashukuru wote 

Thanks to my team and Sayari camp family for joining me on my special born day,much appreciated!#michelle #asiliaafrica #sayariCamp#KingKiba


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment