AY Amtambulisha Girlfriend wake wa Miaka 8 kwa mara ya kwanza huko Instagram

Kwa mara ya kwanza,  Ambwene Yessayah aka AY amemtambulisha girlfriend wake ambaye ajabu amekuwa naye tangu mwaka 2008.

Akipost picha ya mrembo huyo kumpongeza katika siku yake ya kuzaliwa, AY ameandika kwenye Instagram: Happy Birthday my wife to be..I LOVE YOU SO MUCH na unajua ♥️♥️♥️♥️♥️♥️😍😍😍😍 #MySade #KibokoYangu.
Kwenye picha nyingine akiwa naye, AY ameandika: 2008-2016

A trip down memory lane.. πŸ˜‡ #MaliYaZee ♥️♥️♥️♥️ #ZeeMapenziniLeo##.”

Jina la girlfriend wake ni Remy na anaishi nchini Rwanda.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment