BURUDANI Ben Pol ametaja kiwango cha pesa utachotakiwa kumlipa ili upate collabo yake

Inawezekana kabisa star wa BongoFlava na R&B, Ben Pol amegundua kwamba nyimbo nyingi anazoshirikiswa na wasanii wenzake zimekuwa zikiwapa mafanikio makubwa pamoja na kuwaingizia fedha za kutosha.
Kupitia Twitter, Ben Pol ametaja kiwango cha pesa ambacho msanii atatakiwa kumlipa ili apate collobo yake.

Ben Pol amesema kama kuna msanii anayehitaji kufanya naye kwazi kwasasa inabidi ahakikishe anamalizana naye kabla ya December 31, 2016 kwasababu kuanzia mwaka 2017 ili kufanya kazi naye itabidi msanii alipie kiasi cha dola 5000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 10 za Tanzania.
Kuelekea 2017 bei yangu ya Collabo itakuwa $ 5000. So kama una project na mimi tuwasiliane before 31st Dec 2016. Thanks
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment