Diana kaongea ya Miss World 2016 na alichofanyiwa na Miss Kenya


Mrembo aliyeiwakilisha Tanzania kwenye Miss World 2016 lililofanyika Washington Marekani Diana Edward, amerudi Tanzania ambapo Waandishi walimdaka Airport na akakubali kujibu maswali mbalimbali ikiwemo ishu kati yake na Miss Kenya ambaye aliingia mpaka kwenye 5 bora.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment