Greenery yachaguliliwa kuwa rangi ya mwaka 2017PANTONE ni kampuni ambayo inahusika kuchagua rangi za mwaka,na kila ikifika December hutangaza rangi hiyo.
Kwa mwaka huu ni GREENERY mambo ya kijani na ulimwengu mzima unajaribu kuhifadhi mazingira ,kupanda miti hivyo basi imekuja muafaka rangi hii,

Wataalamu wa mambo wanasema ''GREENERY ina signifies  "new beginnings;" "the first day of spring;" "revive, restore, and renew."

But most prominently, the yellow-green hue (specifically, Pantone 15-0343) comments on the concept of “environment.'
kwa wale walokuwa wanasubiri rangi ndo hii kazi kwenu.
waweza itumia kuanzia mavazi,decor za nyumbani,kwenye urembo

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.