Hatimae Young D amuona mtoto wake kwa mara ya kwanza

Young D alituhumiwa kuwa amemkataa mtoto wake,lakini baadae akakanusha taarifa hizo na kuomba radhi kwenye instagram account yake.
Ila jana alikutana na mzazi mwenzie na kuweza kumuona mtoto wao TAMAR 

aliweka caption ya  #YoungDaddy#Myblessings
young D ,mzazi mwenzake na binti yao


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment