Herieth Paul,Model wa Kwanza Mtanzania Kushiriki kwenye Victoria's Secret Fashion Show
Victoria's Secret Fashion show ni show kubwa ambazo zinafanyika kila mwaka,na kama huzijui am sure hata Victoria's secret products ushawahi kuzisikia.

Show hii bas inaonyesha range ya nguo za ndani zikiwa kwenye ufundi na ustadi mkubwa .Models wengi duniani hutamani sana kuchaguliwa kuwa kwenye show hii so ni big deal kwao.
Kwa mara ya kwanza Model wa ki Tanzania Herieth Paul alichaguliwa kushiriki.
show imefanyika Paris na Models walikuwa excited na yaonyesha it was Lit\

hongera sana Herieth 

Hiki ndo kilikuwa kivazi chake 


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment