Homa ya Kutaka mtoto Vera Sidika yaongezeka Baada ya Kumuona mtoto wa Zari na DiamondKenyan socialite Vera Sidika ameonyesha mashabiki wake another side of her akiwa anatamani sana na yeye kuwa na mtoto
Hii ni baada ya kuona Zari na Diamond wamejaaliwa kupata mtoto wao wa kiume juzi tarehe 6 December.
Vera alionyesha hisia zake kwenye instagram page yake akiwa anampongeza Zari na Diamond na kusema homa yake ya mtoto imepanda kutoka asilimia 50 mpaka 100.

Congratulations on your bundle of Joy @zarithebossladyHappy For you doll ๐ŸŽŠ๐Ÿ˜❤️
You just raised my baby fever from 50 to 100 ๐Ÿ˜ฉ sigh!!! Maybe I'm Next


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment